KUMEKUCHA..SERIKALI YAFUTA VYUO 10...TAZAMA LIST NZIMA HAPA....!
SERIKALI
kupitia Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imekunjua makucha yake kwa
kutangaza kuvifuta vyuo 10 ambavyo havikusajiliwa na Baraza la Taifa la
Elimu ya Ufundi (NACTE) .
Naibu
Waziri wa wizara hiyo, alitoa kauli hiyo jijini Dar es
Salaama mbele ya Kamati ya Bunge ya Huduma za Jamii na kuongeza kuwa
kufutwa kwa vyuo hivyo ni kutokana na kutokufuata utaratibu wa
kusajiliwa.
Alivitaja vyuo hivyo ni Media and Research Center, Vision Hotel and Tourism College, East Africa College of Hospitality and Tourism, The Africa Institute of Business Management na Aspiration Training Center, vyote vya Dar es Salaam.
Vingine ni Dar es Salaam School of Hair Design, Media and Values Training Institute na Information Technology Training Center vya Dar es Salaam. Pia alikitaja Chuo cha Morogoro School of Medical Sciences cha Morogoro.
Katika hatua nyingine, Naibu Waziri alikiri kuwa kuna upungufu katika kutoa mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kupitia bodi ya mikopo

No comments:
Post a Comment